Aliyechinja Udhhiyah kabla ya swalah

Swali: Vipi kuhusu ambaye anachinja Udhhiyah kabla ya swalah ya ´iyd?

Jibu: Hasihi isipokuwa baada ya swalah. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“Anayechinja kabla ya swalah basi huyo ni kondoo wa nyama hasihi.”

Hasihi. Kwa hiyo ni lazima iwe baada ya swalah.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/18936/حكم-ذبح-الاضحية-قبل-صلاة-العيد
  • Imechapishwa: 08/06/2024