Aliye na kichenguzi ambaye ameingia Motoni

Atatoka Motoni yule mwenye kutamka shahaadah na asiwe na kichenguzi miongoni mwa vichenguzi vya Uislamu. Kuhusu ambaye yuko na kichenguzi ni mwenye kuritadi. Mwenye kuritadi ni muovu zaidi kuliko kafiri wa kawaida. Mtu huyo atadumishwa Motoni milele.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24093/هل-يخرج-الموحد-تارك-الصلاة-من-النار
  • Imechapishwa: 29/08/2024