Alikuwa akienda kwa wachawi baadaye akatubia

Swali: Vipi kwa ambaye anaenda kwa mchawi kisha baadaye akatubia?

Jibu: Himdi zote njema anastahiki Allaah kama ametubia.

Swali: Je, analazimika kuwaeleza watawala?

Jibu: Hapana, kama ametubia ni vyema. Lakini analazimika kuwashtaki hao wachawi.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24613/حكم-من-كان-يذهب-الى-الساحر-وتاب
  • Imechapishwa: 14/11/2024