Swali 20: Maneno yake Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam):

”Hakika baba yangu na baba yako wako Motoni.”

licha ya kuwa ni kipindi cha katika utume:

يَا أَهْلَ الْكِتَابِ قَدْ جَاءَكُمْ رَسُولُنَا يُبَيِّنُ لَكُمْ عَلَىٰ فَتْرَةٍ مِّنَ الرُّسُلِ

”Enyi Watu wa Kitabu! Kwa hakika amekwishakujieni Mtume Wetu anayekubainishieni katika wakati wa usiokuwa na Mtume.”[1]

Jibu: Huenda ilimfikia hoja kutoka kwa dini ya Ibraahiym.

[1] 05:19

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 34
  • Imechapishwa: 25/07/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´