Aliacha kufanya kufunga akiwa na miaka 10 baada ya kubaleghe

Swali 97: Ni ipi hukumu ya mtu aliyepata hedhi akiwa na umri wa miaka kumi, akakaa na hakufunga?

Jibu: Atalipa swawm na atatoa chakula.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 59
  • Imechapishwa: 15/03/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´