Swali: Je, inajuzu kuweka alama juu ya kaburi ili kutambulika kwamba ni njia?
Jibu: Hapana neno kuweka alama juu ya kaburi, ni mamoja iwe ni jiwe maalum, mfupa, mti au kitu kingine kama hicho, kama alama tu. Inapokelewa kuwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) aliweka alama juu ya kaburi la ´Uthmaan bin Madh´uun (Radhiya Allaahu ´anh). Kinachokusudiwa ni kwamba hakuna tatizo kuweka alama inayotambulika, lakini si kwa ajili ya kulitukuza kaburi, bali ni alama tu, ni mamoja iwe jiwe maalum, tofali maalum, chuma maalum au kitu kama hicho ili kaburi kitambulike.
Swali: Vipi kuhusu kuandika?
Jibu: Hapana, kuandika haijuzu.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/1156/حكم-وضع-علامة-على-القبر
- Imechapishwa: 01/02/2026
Swali: Je, inajuzu kuweka alama juu ya kaburi ili kutambulika kwamba ni njia?
Jibu: Hapana neno kuweka alama juu ya kaburi, ni mamoja iwe ni jiwe maalum, mfupa, mti au kitu kingine kama hicho, kama alama tu. Inapokelewa kuwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) aliweka alama juu ya kaburi la ´Uthmaan bin Madh´uun (Radhiya Allaahu ´anh). Kinachokusudiwa ni kwamba hakuna tatizo kuweka alama inayotambulika, lakini si kwa ajili ya kulitukuza kaburi, bali ni alama tu, ni mamoja iwe jiwe maalum, tofali maalum, chuma maalum au kitu kama hicho ili kaburi kitambulike.
Swali: Vipi kuhusu kuandika?
Jibu: Hapana, kuandika haijuzu.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/1156/حكم-وضع-علامة-على-القبر
Imechapishwa: 01/02/2026
https://firqatunnajia.com/alama-ya-maandishi-juu-ya-kaburi/
Mshirikishe mwenzako:
- Share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Print (Opens in new window) Print
- Email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Share on X (Opens in new window) X
- Share on Pocket (Opens in new window) Pocket