Swali: al-Wahhaab ni katika Majina ya Allaah?
Jibu: Ndio:
قَالَ رَبِّ اغْفِرْ لِي وَهَبْ لِي مُلْكًا لَّا يَنبَغِي لِأَحَدٍ مِّن بَعْدِي ۖ إِنَّكَ أَنتَ الْوَهَّابُ |
“Akasema: “Mola wangu! Nighufurie, na Nitunukie ufalme asiupate mtu yeyote baada yangu; hakika Wewe Ndiye Al-Wahhaab [Mwingi Wa kutunuku].” (38:35) |
Ni Jina la Allaah.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Aqiydat-is-Saffaariniyyah (04) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/sfranih_04.mp3
- Imechapishwa: 31/05/2015
Swali: al-Wahhaab ni katika Majina ya Allaah?
Jibu: Ndio:
قَالَ رَبِّ اغْفِرْ لِي وَهَبْ لِي مُلْكًا لَّا يَنبَغِي لِأَحَدٍ مِّن بَعْدِي ۖ إِنَّكَ أَنتَ الْوَهَّابُ
“Akasema: “Mola wangu! Nighufurie, na Nitunukie ufalme asiupate mtu yeyote baada yangu; hakika Wewe Ndiye Al-Wahhaab [Mwingi Wa kutunuku].” (38:35)
Ni Jina la Allaah.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh ´Aqiydat-is-Saffaariniyyah (04) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/sfranih_04.mp3
Imechapishwa: 31/05/2015
https://firqatunnajia.com/al-wahhaab-ni-jina-la-allaah__trashed/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)