al-Waadi´iy kuhusu sherehe ya maulidi, kuzaliwa kwa mama na usiku wa Rajab

Swali: Kuchinja katika maulidi, kusherehekea usiku wa ishirini na saba Rajab, sikukuu ya Hijrah, sikukuu ya kuzaliwa kwa mama na sikukuu ya mapinduzi ni katika mambo ya kipindi cha kikafiri?

Jibu: Sikukuu yoyote, mbali na ´Iyd-ul-Fitwr na ´Iyd-ul-Adwhaa na ijumaa ambayo ni sikukuu ya wiki, zilizobaki zengine zote ni katika mambo ya kipindi cha kikafiri ambazo hazikuja katika Kitabu na Sunnah.

Check Also

Hukumu ya kuwatakia makafiri mwaka mpya

Swali: Je, inaruhusiwa kuwatakia makafiri mwaka mpya? Je, inaruhusiwa kupongeza mwaka mpya wa Kiislamu na …