Swali: Ni ipi hukumu kwa mwanamke kuvaa suruwali nyumbani kwake akiwa na mume wake au wanawake wenzake?
Jibu: Inavyoonekana ni kuwa suruwali ni kujifananisha na maadui wa Uislamu. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) anasema:
“Atakayejifananisha na watu basi yeye ni katika wao.”
- Muhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.muqbel.net/fatwa.php?fatwa_id=1943
- Imechapishwa: 07/09/2020
Swali: Ni ipi hukumu kwa mwanamke kuvaa suruwali nyumbani kwake akiwa na mume wake au wanawake wenzake?
Jibu: Inavyoonekana ni kuwa suruwali ni kujifananisha na maadui wa Uislamu. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) anasema:
“Atakayejifananisha na watu basi yeye ni katika wao.”
Muhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: http://www.muqbel.net/fatwa.php?fatwa_id=1943
Imechapishwa: 07/09/2020
https://firqatunnajia.com/al-waadiiy-kuhusu-mwanamke-kuvaa-suruwali/