al-Waadi´iy kuhusu majini kuteka nyara mtu

Swali: Je, jini linaweza kuteka nyara mtu, tunaomba dalili?

Jibu: Ndio hili lilitokea katika zama za ´Umar na lilitokea kinyume na zama za ´Umar. Ya kuwa huenda wakateka nyara mtu na akabaki nao kiasi Allaah atavyotaka kisha akarejea.

  • Mhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://youtu.be/2fsH6uQhX58
  • Imechapishwa: 10/04/2022