Tumezungumzia chuo kikuu cha al-Iymaan katika kanda tatu. Baada ya kumraddi al-Qardhwaawiy – Allaah akitaka – tutamraddi mtu wa khatari katika al-Ikhwaan al-Muslimuun. Anaitwa Swalaah as-Saawiy. Yeye na wale wanaomleta Yemen wanatakiwa kuwa katika hali ya kuchunga na wasubiri mkanda mmoja au mingi kwa kichwa cha khabari:
“al-Kaawiy li Dimaagh Swalaah as-Saawiy.”
Ni mwanaume wa khatari.
Kuhusu huyu al-Qardhwaawiy, anazumgumza maneno yanayomfurahisha mkanamungu, zandiki, myahudi na mnaswara ilihali waislamu ndio wanazidi kumchukia tu. Kuna watu wanaokereka kwa kuenezwa na kutetewa Sunnah ya Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Hawako tu tayari kuitetea batili.
- Muhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waad´iy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Iskaat-ul-Kalb al-´Aawiy Yusuf bin ´Abdillaah al-Qardhwaawiy, uk. 27
- Imechapishwa: 08/10/2016
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)