Swali: Nasikia katika baadhi ya vikao watu wanaomponda Shaykh Dr. Rabiy´ bin Haadiy al-Madkhaliy na kutahadharisha dhidi yake na kuchukua kutoka kwake elimu na kuwa si katika Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah jambo ambalo limenitatiza sana. Tunaomba nasaha.
Jibu: Bila shaka ni katika wanachuoni na ni katika wanafunzi wa Shaykh ´Abdul-´Aziyz (Ibn Baaz) Madiynah. Na alisoma katika Chuo kikuu cha Madiynah. Na sijui kutoka kwake kupinda si katika ´Aqiydah wala tabia. Bali ni mtu mzuri na ni katika watu wa kheri na ni mwenye kuwazima walinganizi wa fitina.
- Muhusika: ´Allaamah Muhammad bin Swaalih al-Luhaydaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.youtube.com/watch?v=jDtESyL3Kvs
- Imechapishwa: 10/04/2022
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)