Ninamuomba Allaah kwa Majina na Sifa Zake Awaharakishie wenye kudhulumiwa na kukandamizwa Syria nusura ya mbio. Kwa sababu serikali yao sio ya Kiislamu. Serikali ni ya Nusayriyyah na Nusayriyyah wanaonelea kuwa ´Aliy ndiye Allaah. Wanaamini kuwa yeye ndiye amemuumba Muhammad (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) na kwamba Muhammad ndiye ambaye amemuumba Salmaan al-Faarisiy, ambaye anaitwa pia “al-Baab”, mlango. Haya yanapatikana kwenye vitabu vyao. Hili ni jambo lenye kujulikana. Shaykh-ul-Islaam Ibn Taymiyyah aliashiria hilo mwanzoni wa karne ya 700. Sio jambo alilounda. Baada ya hapo Waislamu wamepewa mtihani kwa serikali hii. Serikali hii ndio natija ya mahitajio, maandamano na vyama.
- Muhusika: ´Allaamah Swaalih bin Muhammad al-Luhaydaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.sahab.net/forums/index.php?showtopic=148858
- Imechapishwa: 07/02/2017
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)