Swali: Je, inasihi kusoma Suurah “al-Kahf” baada ya swalah ya ´Aswr siku ya alkhamisi ili mtu aweze kufikia zile fadhilah zilizopokelewa[1]?
Jibu: Kuanzia magharibi ya siku ya alkhamisi.
[1] Abu Sa´iyd al-Khudriy (Radhiya Allaahu ´anh) amesimulia kwamba Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Yule atakayesoma Suurah “al-Kahf” siku ya ijumaa, basi Allaah atamwangazia nuru kati ya ijumaa mbili.” (Muslim (29/780)).
- Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sa-altu Abiy, uk. 35-36
- Imechapishwa: 01/07/2022
Swali: Je, inasihi kusoma Suurah “al-Kahf” baada ya swalah ya ´Aswr siku ya alkhamisi ili mtu aweze kufikia zile fadhilah zilizopokelewa[1]?
Jibu: Kuanzia magharibi ya siku ya alkhamisi.
[1] Abu Sa´iyd al-Khudriy (Radhiya Allaahu ´anh) amesimulia kwamba Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Yule atakayesoma Suurah “al-Kahf” siku ya ijumaa, basi Allaah atamwangazia nuru kati ya ijumaa mbili.” (Muslim (29/780)).
Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sa-altu Abiy, uk. 35-36
Imechapishwa: 01/07/2022
https://firqatunnajia.com/al-kahf-baada-ya-asw-siku-ya-alkhamisi/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)