Swali: Kukata masharubu ya maiti na makucha yake kunafanyika kabla ya kumuosha au baada ya kumuosha?
Jibu: Ndio, kabla ya kumuosha au baada ya kumuosha. Yote ni sawa. Bali baadhi ya wanachuoni wanapinga jambo hilo na wanaona kwamba asikatwe kitu hata kama yatakuwa marefu yaachwe hivohivo. Wanaona kuwa mambo hayo hayana dalili.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (14) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Umdah-03-11-1434.mp3
- Imechapishwa: 21/06/2019
Swali: Kukata masharubu ya maiti na makucha yake kunafanyika kabla ya kumuosha au baada ya kumuosha?
Jibu: Ndio, kabla ya kumuosha au baada ya kumuosha. Yote ni sawa. Bali baadhi ya wanachuoni wanapinga jambo hilo na wanaona kwamba asikatwe kitu hata kama yatakuwa marefu yaachwe hivohivo. Wanaona kuwa mambo hayo hayana dalili.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (14) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Umdah-03-11-1434.mp3
Imechapishwa: 21/06/2019
https://firqatunnajia.com/al-fawzaan-kukata-masharubu-na-makucha-ya-maiti/