Swali: Mtu akitaka kwenda Msikitini katika ile saa ya kwanza (ambapo mtu anapata ng´ombe) ni wakati gani mtu ataenda katika nyakati za masaa ya zama zetu hizi? Ni moja kwa moja baada ya al-Fajr au ni baada ya kuchomoza kwa jua?
Jibu: Yote mawili yamesemwa. Imesemekana kuwa makusudio ya “saa ya kwanza” ni baada ya al-Fajr na wengine wamesema ni baada ya kuchomoza kwa jua. Nimemsikia Shaykh Ibn Baaz (Rahimahu Allaah) akiipa nguvu kauli hii kwamba ni baada ya kuchomoza kwa jua.
- Muhusika: Swali: Mtu akitaka kwenda Msikitini katika ile saa ya kwanza (ambapo mtu anapata ng´ombe) ni wakati gani mtu ataenda katika nyakati za masaa ya zama zetu hizi? Ni moja kwa moja baada ya al-Fajr au ni baada ya kuchomoza kwa jua? 1,8 Jibu: Yote mawili yamesemwa. Imesemekana kuwa makusudio ya “saa ya kwanza” ni baada ya al-Fajr na wengine wamesema ni baada ya kuchomoza kwa jua. Nimemsikia Shaykh Ibn Baaz (Rahimahu Allaah) akiipa nguvu kauli hii kwamba ni baada ya kuchomoza kwa jua.
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (03) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1430-5-23.mp3
- Imechapishwa: 09/11/2014
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket