al-Fawzaan kuhusu Swalaat-ul-Tasbiyh

Swali: Ni ipi Swalaat-ut-Tasaabiyh na ni ipi hukumu yake?

Jibu: Hakuna haja ya kukutajia Swalaat-ut-Tasaabiyh kwa kuwa haikuthibiti kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Achana nayo. Hukumu yake ni kwamba ni Bid´ah. Maadamu haikuthibiti, ni Bid´ah.