Jibu: Kuna muhubiri kwenye Chuo kikuu chetu alipotaka kuonya dhidi ya “Youth rising forum” akataja tukio na muhusika mwenyewe pamoja na kuwa mimi naona ni katika walinganizi bora. Wasemaje?

Jibu: Haya ni maoni yako wewe. Haya ni maoni yako wewe. Mtu ambaye ni kiongozi wa tamasha kama hizi khatari na maradhi ilionazo, huyu hatakaswi. Hatakaswi naye ndiye kiongozi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alsaha.com/sahat/3/topics/302873
  • Imechapishwa: 09/04/2022