al-Fawzaan Kuhusu kusoma Qur-aan kwa mazingatio Ramadhaan

Swali: Bora zaidi katika kusoma Qur-aan katika Ramadhaan ni kukhitimisha kwa mara nyingi au kusoma kwa mazingatio pamoja na kukhitimisha katika siku tatu kwa uchache?

Jibu: Bora zaidi ni kusoma pamoja na kuzingatia. Bora zaidi ni kusoma kwa mazingatio pamoja na kufaidika na Qur-aan. Ama kupurua tu pasina kuzingatia, huu ni upungufu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (17) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1431-03-14.mp3
  • Imechapishwa: 14/11/2014