Swali: Je, inajuzu kupeana viungo kumpa mtu ambaye ni mgonjwa anayehitajia na ikiwa hakupewa anaweza kufa kwa sababu ya hilo?
Jibu: Ndio. Inajuzu kupeana viungo kwa sharti mbili:
1- Sharti ya kwanza: Yule anayetoa kiungo iwe hatoathirika kwa kufanya hivo. Kule kuchukua kutoka kwake hakutomuathiri.
2- Sharit ya pili: Yule anayepewa [kiungo hichi] awe atanufaika kwacho.
Katika hali hiyo itajuzu.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Fathul%20Majid%20%207%20-%205%20-%201435.mp3
- Imechapishwa: 06/10/2020
Swali: Je, inajuzu kupeana viungo kumpa mtu ambaye ni mgonjwa anayehitajia na ikiwa hakupewa anaweza kufa kwa sababu ya hilo?
Jibu: Ndio. Inajuzu kupeana viungo kwa sharti mbili:
1- Sharti ya kwanza: Yule anayetoa kiungo iwe hatoathirika kwa kufanya hivo. Kule kuchukua kutoka kwake hakutomuathiri.
2- Sharit ya pili: Yule anayepewa [kiungo hichi] awe atanufaika kwacho.
Katika hali hiyo itajuzu.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Fathul%20Majid%20%207%20-%205%20-%201435.mp3
Imechapishwa: 06/10/2020
https://firqatunnajia.com/al-fawzaan-kuhusu-kumpa-kiungo-mgonjwa-anayehitajia/