Swali: Ni ipi hukumu ya mwenye kufunga jumatatu na alkhamisi kwa nia ya siku tatu kila mwezi katika kila mwezi?
Jibu: Hapana, asijumuishe hili na hili. Afunge jumatatu na alkhamisi kila wiki na afunge siku tatu kila mwezi za kipekee.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (17) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1431-03-14.mp3
- Imechapishwa: 14/11/2014
Swali: Ni ipi hukumu ya mwenye kufunga jumatatu na alkhamisi kwa nia ya siku tatu kila mwezi katika kila mwezi?
Jibu: Hapana, asijumuishe hili na hili. Afunge jumatatu na alkhamisi kila wiki na afunge siku tatu kila mwezi za kipekee.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (17) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1431-03-14.mp3
Imechapishwa: 14/11/2014
https://firqatunnajia.com/al-fawzaan-kuhusu-kufunga-jumatatu-na-alkhamisi-kwa-nia-ya-masiku-matatu-meupe-pia__trashed/