al-Fawzaan kuhusu kila Mtume kuwa na kitabu

Swali: Je, imethibiti kwa kila Mtume (ar-Rasuul) aliteremshiwa Kitabu kutoka mbinguni?

Jibu: Allaah ndiye anajua zaidi hili.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (39) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-2-10.mp3
  • Imechapishwa: 20/08/2020