Swali: Kuna ndugu yangu anayeitwa Aayah, alama au ishara. Je, ni wajibu kubadilisha jina hili?

Jibu: Wanakusudia ishara ya kilimwengu na sio ya Qur-aan. Ni alama ya kilimwengu. Kuna ishara aina mbili; ya kilimwengu na ya Qur-aan. Pengine anakusudia alama kama mmoja miongoni mwa viumbe vya Allaah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Muqaddimati Ibn Abiy Zayd al-Qayrawaaniy fiyl-´Aqiydah (07) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/qir-14340205.mp3
  • Imechapishwa: 18/06/2015