Swali: Wito wa watu kufunga kwa pamoja na kufuturu kwa pamoja unajuzu? Ni jambo limefanywa na Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam)?
Jibu: Hapana. Hii ni Bid´ah. Hii ni Bid´ah. Kufuturu kwa pamoja na kufungda kwa pamoja ni katika Bid´ah ambazo zimezushwa na baadhi ya vijana. Hili halina asli. Kila mmoja afunge na kufuturu katika hali yake. Hakuna neno ukafuturu na familia yako na hili sio jambo linaloitwa “kufuturu kwa pamoja”. Kufuturu kwa pamoja ni kule ambako watu wanakusudia kukusanyika. Ama wanafamilia, marafiki na wasafiri kufuturu kwa pamoja, hakuna nen
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (46) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1432-04-01.mp3
- Imechapishwa: 16/11/2014
Swali: Wito wa watu kufunga kwa pamoja na kufuturu kwa pamoja unajuzu? Ni jambo limefanywa na Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam)?
Jibu: Hapana. Hii ni Bid´ah. Hii ni Bid´ah. Kufuturu kwa pamoja na kufungda kwa pamoja ni katika Bid´ah ambazo zimezushwa na baadhi ya vijana. Hili halina asli. Kila mmoja afunge na kufuturu katika hali yake. Hakuna neno ukafuturu na familia yako na hili sio jambo linaloitwa “kufuturu kwa pamoja”. Kufuturu kwa pamoja ni kule ambako watu wanakusudia kukusanyika. Ama wanafamilia, marafiki na wasafiri kufuturu kwa pamoja, hakuna nen
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (46) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1432-04-01.mp3
Imechapishwa: 16/11/2014
https://firqatunnajia.com/al-fawzaan-kuhusu-funga-na-futari-za-pamoja-zimezozushwa-na-vijana/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)