Swali: Allaah (Ta´ala) amesema:
يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا لَا تَتَّخِذُوا الْيَهُودَ وَالنَّصَارَىٰ أَوْلِيَاءَ ۘ بَعْضُهُمْ أَوْلِيَاءُ بَعْضٍ ۚ وَمَن يَتَوَلَّهُم مِّنكُمْ فَإِنَّهُ مِنْهُمْ
“Enyi mlioamini! Msiwachukuwe mayahudi na manaswara [kuwa ndio] marafiki – wao kwa wao ni marafiki. Na yeyote atakayewafanya marafiki, basi hakika yeye ni miongoni mwao.” (05:51)
Ni nini maana ya Muwaalaah katika Aayah hii? Ni lini Muwaalaah inakuwa kufuru kubwa?
Jibu: Muwaalaah ni kuwapenda, kuwanusuru na kuwasaidia dhidi ya waislamu. Hii ndio Muwaalaah. Ni kuwapenda ndani ya moyo, kuwanusuru na kuwasaidia dhidi ya waislamu. Vilevile pamoja na kuwatapa na kuwasifu. Yote haya yanaingia katika neno Muwaalaah.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Aqiydat-is-Saffaariniyyah (13) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/sfranih_13.mp3
- Imechapishwa: 15/06/2015
Swali: Allaah (Ta´ala) amesema:
يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا لَا تَتَّخِذُوا الْيَهُودَ وَالنَّصَارَىٰ أَوْلِيَاءَ ۘ بَعْضُهُمْ أَوْلِيَاءُ بَعْضٍ ۚ وَمَن يَتَوَلَّهُم مِّنكُمْ فَإِنَّهُ مِنْهُمْ
“Enyi mlioamini! Msiwachukuwe mayahudi na manaswara [kuwa ndio] marafiki – wao kwa wao ni marafiki. Na yeyote atakayewafanya marafiki, basi hakika yeye ni miongoni mwao.” (05:51)
Ni nini maana ya Muwaalaah katika Aayah hii? Ni lini Muwaalaah inakuwa kufuru kubwa?
Jibu: Muwaalaah ni kuwapenda, kuwanusuru na kuwasaidia dhidi ya waislamu. Hii ndio Muwaalaah. Ni kuwapenda ndani ya moyo, kuwanusuru na kuwasaidia dhidi ya waislamu. Vilevile pamoja na kuwatapa na kuwasifu. Yote haya yanaingia katika neno Muwaalaah.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh ´Aqiydat-is-Saffaariniyyah (13) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/sfranih_13.mp3
Imechapishwa: 15/06/2015
https://firqatunnajia.com/al-fawzaan-akifasiri-neno-muwaalaah/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)