Swali: Je, anakufuru ambaye haonelei kuwa asiyekuwa ni kafiri?
Jibu: Hapana. Haya ni mambo yenye tofauti. Masuala ya kumkufurisha ambaye haswali na huku anaonelea kuwa ni wajibu ni mambo yenye tofauti. Hakufurishwi mwenye kuonelea kinyume kwa sababu nyuma ya hili kuna maimamu wakubwa. Lakini maoni sahihi na yenye nguvu ni kwa wale wanaosema kuwa anakufuru ukafiri unaomtoa katika Uislamu.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Nawaaqidh-il-Islaam http://ajurry.com/safrawy/chorohat-elakida/chorohat-nawakid-elislam/charh-salah-fawzan/03.mp3
- Imechapishwa: 29/09/2018
Swali: Je, anakufuru ambaye haonelei kuwa asiyekuwa ni kafiri?
Jibu: Hapana. Haya ni mambo yenye tofauti. Masuala ya kumkufurisha ambaye haswali na huku anaonelea kuwa ni wajibu ni mambo yenye tofauti. Hakufurishwi mwenye kuonelea kinyume kwa sababu nyuma ya hili kuna maimamu wakubwa. Lakini maoni sahihi na yenye nguvu ni kwa wale wanaosema kuwa anakufuru ukafiri unaomtoa katika Uislamu.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Nawaaqidh-il-Islaam http://ajurry.com/safrawy/chorohat-elakida/chorohat-nawakid-elislam/charh-salah-fawzan/03.mp3
Imechapishwa: 29/09/2018
https://firqatunnajia.com/akufurishwe-asiyemkufurisha-mwenye-kuswali/