Swali: Je, ni sawa kugawanya Twaaghuut katika mafungu mawili; Twaaghuut ambaye ni kafiri na Twaaghuut ambaye ni mtenda dhambi?

Jibu: Kwa kweli hatukusikia haya kutoka kwa baba zetu waliotangulia. Twaaghuut ni Twaaghuut na haigawanywi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/15208
  • Imechapishwa: 28/06/2020