Swali: Ahmadiyyah wanazingatiwa ni makafiri?
Jibu: Ndio, bila shaka. Mwenye kuamini kuwa kuna Mtume atakuja baada ya Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ni kafiri. Allaah (Jalla wa ´Alaa) amesema:
مَّا كَانَ مُحَمَّدٌ أَبَا أَحَدٍ مِّن رِّجَالِكُمْ وَلَـٰكِن رَّسُولَ اللَّـهِ وَخَاتَمَ النَّبِيِّينَ ۗ وَكَانَ اللَّـهُ بِكُلِّ شَيْءٍ عَلِيمًا
“Hakuwa Muhammad baba wa yeyote miongoni mwa wanaume wenu, lakini ni Mtume Allaah na ni mwisho wa Manabii. Allaah daima ni Mjuzi wa kila jambo.”[1]
Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Hakutofika Qiyaamah mpaka kuweko waongo thelathini na kila mmoja anadai kuwa ni Mtume. Mimi ndiye Mtume wa mwisho. Hakuna Mtume mwengine baada yangu.”
[1] 33:40
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (58) http://alfawzan.af.org.sa/ar/node/16539
- Imechapishwa: 23/09/2017
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)