Swali: Je, maiti anaadhibiwa adhabu ya kaburi pale anapoliwa na wanyama wakali au akapeperushwa na upepo?
Jibu: Ndio. Kinachoadhibiwa ni ile roho kwa sababu kiwiliwili kimeshateketea, kuharibika na kumalizika. Lakini haya ni miongoni mwa mambo yaliyojificha ambayo siwezi kukata moja kwa moja ya kwamba mwili haufikwi na adhabu hii ijapo ameshateketea na kuungua, kwa sababu mtu hawezi kuyalinganisha mambo ya Aakhirah na yale anayoyaona ulimwenguni.
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Mjamuu´-ul-Fataawaa (17/435)
- Imechapishwa: 29/05/2026
Swali: Je, maiti anaadhibiwa adhabu ya kaburi pale anapoliwa na wanyama wakali au akapeperushwa na upepo?
Jibu: Ndio. Kinachoadhibiwa ni ile roho kwa sababu kiwiliwili kimeshateketea, kuharibika na kumalizika. Lakini haya ni miongoni mwa mambo yaliyojificha ambayo siwezi kukata moja kwa moja ya kwamba mwili haufikwi na adhabu hii ijapo ameshateketea na kuungua, kwa sababu mtu hawezi kuyalinganisha mambo ya Aakhirah na yale anayoyaona ulimwenguni.
Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Mjamuu´-ul-Fataawaa (17/435)
Imechapishwa: 29/05/2026
https://firqatunnajia.com/adhabu-kwa-maiti-aliyeliwa-na-wanyama/