Swali: Je, adhaana ni wajibu safarini?

Jibu: Ndio, ni wajibu safarini ikiwa ni kundi la watu. Hilo ni tofauti msafiri akiwa mmoja, ni wajibu au hapana? Inapendeza kwa mtu akiwa mmoja. Wametofautiana wanazuoni kama ni wajibu au hapana? Lakiwa wakiwa kundi la watu ni wajibu. Amesema (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam):

”Aadhini mmoja wenu… ”

Hii ni amri. Amri inapelekea katika uwajibu.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24784حكم-الاذان-في-السفر
  • Imechapishwa: 15/12/2024