Swali: Ni sahihi na ni kulingania katika dini ya Allaah muislamu akaadhini kati ya washirikina ijapokuwa sio wakati wa swalah?
Jibu: Hapana. Sio kulingania katika dini ya Allaah. Adhaana ni kwa ajili ya swalah na sio kwa sababu ya Da´wah. Adhaana ni kwa ajili ya swalah, inatambulisha kuingia kwa wakati. Haikuwekwa katika dini sababu ya Da´wah.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (31) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fathyl%20majd%20-%2026%20-%2010%20-%201436.mp3
- Imechapishwa: 12/02/2017
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)