Swali 237: Je, ni lazima kwa mwanamke kukimu swalah na kuadhini akiwa peke yake nyumbani kwake au akiswali mkusanyiko na wanawake wenzao?

Jibu: Si lazima kwake na wala haikuwekwa katika Shari´ah kufanya hivo.

  • Mhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa al-Mar´ah al-Muslimah, uk. 92
  • Imechapishwa: 14/08/2019