ad-Dajjaal, Ya´juuj na Ma´juuj wako wapi leo?

Swali: ad-Dajjaal yuko wapi leo? Je, inajulikana nafasi alipo?

Jibu: Hatujui. Hakukuthibiti kuwa yuko nafasi fulani. Ardhi ya Allaah ni pana. Ya´juuj na Ma´juuj wako wapi pia? Allaah ndiye Anajua zaidi. Lakini hata hivyo tunaamini hayo. Hatukuzunguka Ufalme wa Allaah (´Azza wa Jall).

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Kitaab Ahaadiyth-il-Fitnah http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/hadist%20fitan-19-08-1435-01.mp3
  • Imechapishwa: 21/04/2015