Swali: Inajuzu kumwita Imaam Abu Haniyfah (Rahimahu Allaah) kwamba ni “imamu wa maimamu” au “imamu mkubwa”?
Jibu: Hanafiyyah wanasema “imamu wa kwanza”. Mwite hivo. Hakuna ubaya kusema hivo kwa sababu ni imamu mtukufu (Rahimahu Allaah). Hakuna neno kusema hivo.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (88) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/igahssat.mp3
- Imechapishwa: 10/09/2018
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)