Swali: Akiamka mtu ilihali yuko na janaba, na na hapakubaki ila wakati mdogo wa adhaana ya pili. Je, aanze kula daku kisha ndo akoge ili awahi muda wa daku? Au akoge kwanza impite daku?
Jibu: Aanze kula daku kisha ndo aoge. Na awahi mkusanyiko – Allaah akitaka.
- Muhusika: ´Allaamah Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab al-Waswaabiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://alwasabi.al3ilm.com/alfatawaa
- Imechapishwa: 10/05/2020
Swali: Akiamka mtu ilihali yuko na janaba, na na hapakubaki ila wakati mdogo wa adhaana ya pili. Je, aanze kula daku kisha ndo akoge ili awahi muda wa daku? Au akoge kwanza impite daku?
Jibu: Aanze kula daku kisha ndo aoge. Na awahi mkusanyiko – Allaah akitaka.
Muhusika: ´Allaamah Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab al-Waswaabiy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://alwasabi.al3ilm.com/alfatawaa
Imechapishwa: 10/05/2020
https://firqatunnajia.com/aanze-kuoga-janaba-au-daku-kwanza/