al-Qummiy amesema pindi alipokuwa anafasiri Aayah:
يَوْمَئِذٍ يَوَدُّ الَّذِينَ كَفَرُوا وَعَصَوُا الرَّسُولَ لَوْ تُسَوَّىٰ بِهِمُ الْأَرْضُ وَلَا يَكْتُمُونَ اللَّـهَ حَدِيثًا
“Siku hiyo wale waliokufuru na wakamuasi Mtume watatamani lau ardhi isawazishwe juu yao; na wala hawatoweza kumficha Allaah chochote katika yale waliyosema [au kufanya].”[1]
“Watatamani wale waliompokonya uongozi kiongozi wa waumini lau ardhi isawazishwe juu yao siku ambayo walikusanyika kumpora na wala hawakuficha chochote katika yale yaliyosemwa na Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) juu yake.”[2]
Tazama upotoshaji huu wa ki-Baatwiniy. Aayah inawazungumzia wale makafiri waliomkadhibisha Allaah na Mtume wake (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) na ile khofu watayokuwa nayo siku ya Qiyaamah. Raafidhwiy huyu anaipachika kwa Maswahabah wa Muhammad (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ambao wamemuamini Allaah, Mtume wake, Vitabu vyake na kadhalika na wakapambana katika njia ya Alllaah kwa mali zao na nafsi zao. Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amekufa akiwa radhi nao.
[1] 04:42
[2] Tafsiyr al-Qummiy (1/139).
- Mhusika: ´Allaamah Rabiy´ bin Haadiy al-Madkhaliy
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: al-Intiswaar li Kitaab-il-´Aziyz al-Jabbaar, uk. 128
- Imechapishwa: 07/11/2017
al-Qummiy amesema pindi alipokuwa anafasiri Aayah:
يَوْمَئِذٍ يَوَدُّ الَّذِينَ كَفَرُوا وَعَصَوُا الرَّسُولَ لَوْ تُسَوَّىٰ بِهِمُ الْأَرْضُ وَلَا يَكْتُمُونَ اللَّـهَ حَدِيثًا
“Siku hiyo wale waliokufuru na wakamuasi Mtume watatamani lau ardhi isawazishwe juu yao; na wala hawatoweza kumficha Allaah chochote katika yale waliyosema [au kufanya].”[1]
“Watatamani wale waliompokonya uongozi kiongozi wa waumini lau ardhi isawazishwe juu yao siku ambayo walikusanyika kumpora na wala hawakuficha chochote katika yale yaliyosemwa na Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) juu yake.”[2]
Tazama upotoshaji huu wa ki-Baatwiniy. Aayah inawazungumzia wale makafiri waliomkadhibisha Allaah na Mtume wake (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) na ile khofu watayokuwa nayo siku ya Qiyaamah. Raafidhwiy huyu anaipachika kwa Maswahabah wa Muhammad (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ambao wamemuamini Allaah, Mtume wake, Vitabu vyake na kadhalika na wakapambana katika njia ya Alllaah kwa mali zao na nafsi zao. Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amekufa akiwa radhi nao.
[1] 04:42
[2] Tafsiyr al-Qummiy (1/139).
Mhusika: ´Allaamah Rabiy´ bin Haadiy al-Madkhaliy
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: al-Intiswaar li Kitaab-il-´Aziyz al-Jabbaar, uk. 128
Imechapishwa: 07/11/2017
https://firqatunnajia.com/85-al-qummiy-upotoshaji-wa-pili-wa-an-nisaa/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)