83. Du´aa pindi mtu anapomuona aliyesibiwa na mtihani

  Download

الْحَمْـدُ للهِ الّذي عافاني مِمّا ابْتَـلاكَ بِهِ، وَفَضَّلَـني عَلى كَثيـرٍ مِمَّنْ خَلَـقَ تَفْضـيلا

”Himdi zote njema ni stahiki ya Allaah, ambaye ameniepusha mimi na kile alichokupa kwacho mtihani, na akanifanya mimi kuwa bora kuliko wengi miongoni mwa aliowaumba.”

  • Mhusika: Shaykh Sa´iyd bin ´Aliy bin Wahf al-Qahtwaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Huswn-ul-Muslim
  • Imechapishwa: 03/05/2020