80. Du´aa ya anayeomba bwanaharusi au aliyenunua kipando

  Download

191-

“Mmoja wenu atakapomuona mwanamke au Khaadima, basi aseme:

اللّهُـمَّ إِنَّـي أَسْـأَلُـكَ خَيْـرَها، وَخَيْـرَ ما جَبَلْـتَهَـا عَلَـيْه، وَأَعـوذُ بِكَ مِنْ شَـرِّها، وَشَـرِّ ما جَبَلْـتَهَـا عَلَـيْه

”Ee Allaah! Hakika mimi nakuomba kheri ya [mwanamke] huyu na kheri ya maumbile uliyomuumba nayo na najilinda Kwako kutokamana na shari yake na shari ya maumbile uliyomuumba nayo.”[1]

[1] Abu Daawuud (02/248) na Ibn Maajah (01/ 617). Tazama “Swahiyh-ut-Tirmidhiy” (01/324).

  • Mhusika: Shaykh Sa´iyd bin ´Aliy bin Wahf al-Qahtwaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Huswn-ul-Muslim
  • Imechapishwa: 03/05/2020