Mu´tazilah wamekanusha kuthibiti kwa Hodhi. Tunawaraddi kwa mambo mawili:
1 – Kumepokelewa Hadiyth tele kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).
2 – Ahl-us-Sunnah wameafikiana juu ya hilo.
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Ta´aliyq mukhtaswar ´alaa Lum´at-il-I´tiqaad, uk. 124
- Imechapishwa: 30/11/2022