73. Du´aa ya kumuombea uliyefuturu nyumbani kwake

  Download

184-

أَفْطَـرَ عِنْدَكُم الصّـائِمونَ وَأَكَلَ طَعامَـكُمُ الأبْـرار، وَصَلَّـتْ عَلَـيْكُمُ الملائِكَـة

”Wafuturu kwenu wafungaji, wale chakula chenu waja wema na Malaika wawaombeeni msamaha.”[1]

[1] Sunan Abiy Daawuwd (03/367), Ibn Maajah (01/556), an-Nasaa´iy katika ”‘Amal-ul-Yawm wal-Laylah” (296-298). Imetajwa kwamba yeye (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alikuwa akiisema wakati anapofuturu kwa watu wa nyumbani kwake. Ni Swahiyh kwa mujibu wa al-Albaaniy katika ”Swahiyh Abiy Daawuwd” (02/730).

  • Mhusika: Shaykh Sa´iyd bin ´Aliy bin Wahf al-Qahtwaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Huswn-ul-Muslim
  • Imechapishwa: 02/05/2020