72 – Jaabir bin Samurah amesema:
”Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alijitokeza kwetu na kusema: ”Je, hampangi safu kama wanavyopanga safu Malaika.” Wakasema: ”Ee Mtume wa Allaah, ni vipi wanapanga safu Malaika mbele ya Mola wao?” Akasema: ”Wanakamilisha safu ya kwanza na wanasimama kwa kukamatana katika safu.”
Ameipokea Muslim.
- Muhusika: Imaam Shams-ud-Diyn Muhammad bin Ahmad adh-Dhahabiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Mukhtasar-ul-´Uluww, uk. 112
- Imechapishwa: 26/06/2024
- Taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
72 – Jaabir bin Samurah amesema:
”Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alijitokeza kwetu na kusema: ”Je, hampangi safu kama wanavyopanga safu Malaika.” Wakasema: ”Ee Mtume wa Allaah, ni vipi wanapanga safu Malaika mbele ya Mola wao?” Akasema: ”Wanakamilisha safu ya kwanza na wanasimama kwa kukamatana katika safu.”
Ameipokea Muslim.
Muhusika: Imaam Shams-ud-Diyn Muhammad bin Ahmad adh-Dhahabiy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Mukhtasar-ul-´Uluww, uk. 112
Imechapishwa: 26/06/2024
Taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
https://firqatunnajia.com/72-safu-za-malaika-mbele-ya-allaah/