72. Du´aa ya kumuombea aliyekupa kinywaji au chakula

  Download

183-

اللّهُـمَّ أَطْعِمْ مَن أَطْعَمَني، وَاسْقِ مَن سَقانِي

“Ee Allaah! Mlishe aliyenilisha na mnywishe aliyeninyweisha.”[1]

[1] Muslim (02/1626).

  • Mhusika: Shaykh Sa´iyd bin ´Aliy bin Wahf al-Qahtwaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Huswn-ul-Muslim
  • Imechapishwa: 02/05/2020