Swali 71: Kaburi la mwanamke na mwanamme linachimbwa kina kiasi gani[1]?
Jibu: Bora kuchimbwe kwa kiasi ya kimo cha nusu mtu. Kwa sababu kufanya hivo kuko mbali zaidi na khatari ya kuchimbuliwa na wanyama na wengineo.
[1] Majmuu´-ul-Fataawaa (13/189).
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Ahkaam-ul-Janaa-iz, uk. 52
- Imechapishwa: 31/12/2021
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket
Related
72. Mwanandani aina gani bora?
Swali 72: Ni ipi bora kufanya mwanandani ulio karibu na ukuta upande wa Qiblah[1] na mwanandani katikati ya kaburi[2]? Kaburi linanyanyuliwa kwa kiasi gani[3]? Jibu: Madiynah walikuwa wakifanya mwanandani upande wa Qiblah na wakati mwingine wanachimba mwanandani katikati ya kaburi. Mwanandani upande wa Qiblah ndio bora zaidi. Kwa sababu Allaah…
In "Ahkaam-ul-Janaa-iz - Ibn Baaz"
Ni muda kiasi gani inatakiwa kubaki makaburini baada ya mazishi?
Swali: Baada ya kumzika maiti kuna Hadiyth ya kwamba mtu abaki karibu na kaburi la yule maiti kwa kiasi cha muda wa kumchinja ngamia. Hilo lina maana gani? Jibu: Haya aliusia ´Amr bin al-´Aasw (Radhiya Allaahu ´anh). Alisema: "Baada ya kuzikwa simameni karibu na kaburi langu kwa kiasi cha muda…
In "Ibn ´Uthaymiyn kuhusu maziko"
93. Ni urefu gani kaburi linatakiwa kunyanyuliwa kutokea chini?
Swali 93: Ni urefu gani kaburi linatakiwa kunyanyuliwa kutokea chini[1]? Jibu: Kilichowekwa katika Shari´ah ni shibiri na mfano wake. Kaburi la Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) halikunyanyuliwa isipokuwa kiasi cha shibiri. Kuhusu kunyanyua sana haiuzu kutokana na yale yaliyothibiti kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) wakati alipomwambia…
In "Ahkaam-ul-Janaa-iz - Ibn Baaz"