259 – Hishaam bin ´Ammaar ametukhabarisha: Muhammad bin Ayyuub bin Halbas ametukhabarisha, kutoka kwa baba yangu: Nimemsikia Busr bin Abiy Artw’ah akisema: Nimemsikia Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akisema:
اللَّهُمَّ أَحْسِنْ عَاقِبَتَنَا فِي الْأُمُورِ كُلِّهَا، وَأَجِرْنَا مِنْ خِزْيِ الدُّنْيَا وَعَذَابِ الْآخِرَةِ
“Ee Allaah! Ufanye mwisho wetu uwe mzuri katika mambo yote na utulinde na udhalilisha wa ulimwengu na adhabu ya Aakhirah.”[1]
260 – Ibn ´Awf ametukhabarisha mfano wa hayo: Muhammad bin al-Mubaarak ametukhabarisha: Ibraahiym bin Abiy Shaybaan ametukhabarisha, kutoka kwa Yaziyd bin ´Ubaydah, kutoka kwa Yaziyd, mtumwa wa Busr bin Abiy Artwaah, kutoka kwa Busr, kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).
261 – al-Hasan bin al-Bazzaar ametukhabarisha: Ibn Qutn ametukhabarisha: ´Abdul-´Aziyz bin Abiy Salamah ametukhabarisha, kutoka kwa Qudaamah bin Muusa, kutoka kwa Abu Swaalih, kutoka kwa Abu Hurayrah, ambaye amesimulia kuwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
اللهمَّ أَصْلِحْ لي دُنْيايَ التي جعلت فيها مَعَاشِي
”Ee Allaah! Nitengenezee dunia yangu ambayo Umeifanya kuwa riziki yangu.”[2]
262 – Muhammad bin Muslim ametukhabarisha: ´Amr bin Abiy Salamah ametukhabarisha: Zuhayr ametukhabarisha, kutoka kwa Hishaam bin ´Urwah, kutoka kwa baba yake, kutoka kwa ´Aaishah, ambaye ameeleza kwamba Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
اللَّهُمَّ إِنِّي أَسْأَلُكَ صَبْرًا عَلَى بَلِيَّتِكَ، وَخُرُوجًا مِنَ الدُّنْيَا إِلَى رَحْمَتِكَ
“Ee Allaah! Ninakuomba subira kwa mtihani Wako na kutoka katika dunia kwenda katika rehema Yako.”[3]
263 – Abu Bakr ametukhabarisha: Wakiy´ ametukhabarisha, kutoka kwa Sufyaan, kutoka kwa ´Abdullaah bin Muhammad bin ´Aqiyl, kutoka kwa at-Twufayl bin Ubayy, kutoka kwa baba yake, ambaye amesimulia:
“Bwana mmoja alisema: “Ee Mtume wa Allaah! Unasemaje nikiifanya swalah yangu yote kukuswalia wewe?” Akasema: ”Basi Allaah atakutosheleza na masononeko ya dunia na Aakhirah yako.”
264 – Muhammad bin Ismaa´iyl ametukhabarisha: Ibn Abiy Uways ametukhabarisha: Maalik bin Anas ametukhabarisha, kutoka kwa Abun-Nadhwr, mtumwa wa ´Umar bin ´Ubaydillaah, kutoka kwa ´Ubayd bin Hunayn, kutoka kwa Abu Sa´iyd al-Khudriy, ambaye amesimulia:
“Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) alikaa juu ya mimbari na akasema: “Allaah amempa chaguo mja fulani kuchagua baina ya kumpa mapambo ya ulimwengu na vile vilivyoko Kwake. Akachagua vile vilivyoko Kwake.”[4]
265 – Abul-Khattwaab ametukhabarisha: Abu ´Attwaab ametukhabarisha: al-Mughiyrah bin Muslim al-Khuraasaaniy ametukhabarisha, kutoka kwa Ismaa´iyl bin Abiy Khaalid, kutoka kwa Nafiy´, kutoka kwa Anas bin Maalik, ambaye amesimulia kuwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akisema:
“Hakuna mtu yeyote siku ya Qiyaamah isipokuwa atatamani lau Allaah angempa tu katika dunia cha kumfanya kuweza kuishi.”[5]
[1] Dhaifu kwa mujibu wa al-Albaaniy katika “Dhwa´iyf-ul-Jaamiy´” (1169).
[2] Muslim (2720).
[3] Ibn Hibbaan (922), ambaye ameisahihisha. Dhaifu kwa mujibu wa al-´Iraaqiy katika “Takhriyj-ul-Ihyaa’” (2/262) na al-Albaaniy katika “Dhwa´iyf-ul-Jaamiy´” (70).
[4] al-Bukhaariy (3904) na Muslim (2382).
[5] Imezuliwa kwa mujibu wa al-Albaaniy katika “Dhwa´iyf-ul-Jaamiy´” (5147).
- Muhusika: Imaam Abu Bakr Ahmad bin Abiy ´Aaswim ash-Shaybaaniy (a.f.k. 287)
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Kitaab-uz-Zuhd, uk. 69-70
- Imechapishwa: 23/07/2025

Muhusika: Imaam Abu Bakr Ahmad bin Abiy ´Aaswim ash-Shaybaaniy (a.f.k. 287)
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Kitaab-uz-Zuhd, uk. 69-70
Imechapishwa: 23/07/2025
https://firqatunnajia.com/69-mtume-alichagua-yale-yaliyoko-kwa-allaah/