69. Ilikuwa mingapi misafara ya kijeshi na misheni?

Swali 69: Ilikuwa mingapi misafara ya kijeshi na misheni?

Jibu: Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) alituma misheni na misafara ya kijeshi thelathini na nane. Nadharia nyingine ni vipande thelathini na tisa. Zote zimekwishatajwa na tarehe – zote isipokuwa tu msafara wa kijeshi wa Usaamah bin Zayd (Radhiya Allaahu ´anhumaa) kwenda Balqaa’ ambapo ilikuwa mwaka wa 11.

  • Mhusika: ´Allaamah Haafidhw bin Ahmad al-Hakamiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Amaaliy fiys-Siyrah an-Nabawiyyah, uk. 142
  • Imechapishwa: 04/11/2023