Kisha atafanya Sa´y baina ya Swafaa na Marwah ikiwa ni mwenye kufanya Hajj ya Tamattu´ au ikiwa ni miongoni mwa wale ambao hawakufanya Sa´y pamoja na Twawaaf ya kuwasili. Hapo atakuwa ametoka katika Ihraam kikamilifu. Baada ya hapo kila kitu kitakuwa kimemruhusu kwake. Aidha inapendekezwa kunywa maji ya zamzam kwa jambo analolitaka na anywe kwa wingi mpaka tumbo lake lijazwe. Kisha aseme:
اللهم اجعله لنا علماً نافعاً، ورزقاً واسعاً، ورياً وشبعاً وشفاء من كل داء، اغسل به قلبي واملأه من خشيتك
“Ee Allaah! Yafanye haya kwetu kuwa elimu yenye manufaa, riziki pana, kunywa kwa kutosheleza, kushiba na kuwa ponyo kutokana na kila ugonjwa. Osha moyo wangu kwa hayo na uujaze kwa khofu Yako na hekima Yako.”
- Muhusika: Imaam Muwaffaq-ud-Diyn bin Qudaamah al-Maqdisiy (afk. 620)
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: ´Umdat-ul-Fiqh, uk. 48
- Imechapishwa: 11/11/2026
Kisha atafanya Sa´y baina ya Swafaa na Marwah ikiwa ni mwenye kufanya Hajj ya Tamattu´ au ikiwa ni miongoni mwa wale ambao hawakufanya Sa´y pamoja na Twawaaf ya kuwasili. Hapo atakuwa ametoka katika Ihraam kikamilifu. Baada ya hapo kila kitu kitakuwa kimemruhusu kwake. Aidha inapendekezwa kunywa maji ya zamzam kwa jambo analolitaka na anywe kwa wingi mpaka tumbo lake lijazwe. Kisha aseme:
اللهم اجعله لنا علماً نافعاً، ورزقاً واسعاً، ورياً وشبعاً وشفاء من كل داء، اغسل به قلبي واملأه من خشيتك
“Ee Allaah! Yafanye haya kwetu kuwa elimu yenye manufaa, riziki pana, kunywa kwa kutosheleza, kushiba na kuwa ponyo kutokana na kila ugonjwa. Osha moyo wangu kwa hayo na uujaze kwa khofu Yako na hekima Yako.”
Muhusika: Imaam Muwaffaq-ud-Diyn bin Qudaamah al-Maqdisiy (afk. 620)
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: ´Umdat-ul-Fiqh, uk. 48
Imechapishwa: 11/11/2026
https://firqatunnajia.com/69-hapo-kila-kitu-kinakuwa-halali-kwa-mwenye-kufanya-hajj/