Kuna sampuli mbili za fidia:
1 – Ni ile ambayo mtu ana chaguo. Hii ni fidia ya kuondoa madhara, kuvaa nguo iliyoshonwa kwa ajili ya mwili na kutumia manukato. Ana chaguo kati ya kufunga siku tatu, kuwalisha chakula masikini sita kwa kuwapa takriban 6,12 kg za tende au kuchinja kondoo/mbuzi mmoja.
Fidia ya mnyama wa kuwinda ni mnyama anayelingana na yule aliyemuua, miongoni mwa wanyama wa kufugwa, isipokuwa ndege; kwani fidia yake ni thamani yake. Isipokuwa njiwa, kwani fidia yake ni mbuzi kondoo/mmoja. Kwa mbuni ni ngamia. Ana chaguo kati ya kutoa mnyama anayelingana naye au kuikadiria thamani yake kwa chakula, kisha amlishe chakula kila masikini takriban gramu 510, au afunge siku moja kwa kila gramu 510.
- Muhusika: Imaam Muwaffaq-ud-Diyn bin Qudaamah al-Maqdisiy (afk. 620)
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: ´Umdat-ul-Fiqh, uk. 46
- Imechapishwa: 09/11/2026
Kuna sampuli mbili za fidia:
1 – Ni ile ambayo mtu ana chaguo. Hii ni fidia ya kuondoa madhara, kuvaa nguo iliyoshonwa kwa ajili ya mwili na kutumia manukato. Ana chaguo kati ya kufunga siku tatu, kuwalisha chakula masikini sita kwa kuwapa takriban 6,12 kg za tende au kuchinja kondoo/mbuzi mmoja.
Fidia ya mnyama wa kuwinda ni mnyama anayelingana na yule aliyemuua, miongoni mwa wanyama wa kufugwa, isipokuwa ndege; kwani fidia yake ni thamani yake. Isipokuwa njiwa, kwani fidia yake ni mbuzi kondoo/mmoja. Kwa mbuni ni ngamia. Ana chaguo kati ya kutoa mnyama anayelingana naye au kuikadiria thamani yake kwa chakula, kisha amlishe chakula kila masikini takriban gramu 510, au afunge siku moja kwa kila gramu 510.
Muhusika: Imaam Muwaffaq-ud-Diyn bin Qudaamah al-Maqdisiy (afk. 620)
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: ´Umdat-ul-Fiqh, uk. 46
Imechapishwa: 09/11/2026
https://firqatunnajia.com/63-fidia-wakati-wa-ihraam/