62. Kitu pekee alichopata Mtume katika ulimwengu

230 – Duhaym ametuhadithia: Ibn Abiy Fudayk ametukhabarisha, kutoka kwa ´Umar bin Wakiy´, kutoka kwa Ibn ´Umar, ambaye ameeleza kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“Kitu pekee tulichopata kutokana na dunia hii ni wanawake wenu.”[1]

[1] Dhaifu kwa mujibu wa al-Albaaniy katika “Dhwa´iyf-ul-Jaamiy´” (5003).

  • Muhusika: Imaam Abu Bakr Ahmad bin Abiy ´Aaswim ash-Shaybaaniy (a.f.k. 287)
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Kitaab-uz-Zuhd, uk. 61
  • Imechapishwa: 21/07/2025