58 – Ibn Mas´uud amesema kuhusu Aayah:
بَلْ أَحْيَاءٌ عِندَ رَبِّهِمْ يُرْزَقُونَ
”Bali wahai kwa Mola wao wanaruzukiwa.”[1]
”Tuliuliza juu ya hilo. Wakasema: ”Roho zao zimo ndani ya matumbo ya kijani ya ndege. Zinaruka Peponi popote zinapotaka. Kisha zinarudi kwenye taa zilizoning´inia kwenye taa za ´Arshi. Wakati watapokuwa katika hali hiyo, tahamaki Atawadhihirikia Mola wako na kusema: ”Niombeni mtakacho!”
Ameipokea Muslim, at-Tirmidhiy na al-Qazwiyniy.
[1] 3:169
- Muhusika: Imaam Shams-ud-Diyn Muhammad bin Ahmad adh-Dhahabiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Mukhtasar-ul-´Uluww, uk. 105-106
- Imechapishwa: 26/06/2024
- Taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
58 – Ibn Mas´uud amesema kuhusu Aayah:
بَلْ أَحْيَاءٌ عِندَ رَبِّهِمْ يُرْزَقُونَ
”Bali wahai kwa Mola wao wanaruzukiwa.”[1]
”Tuliuliza juu ya hilo. Wakasema: ”Roho zao zimo ndani ya matumbo ya kijani ya ndege. Zinaruka Peponi popote zinapotaka. Kisha zinarudi kwenye taa zilizoning´inia kwenye taa za ´Arshi. Wakati watapokuwa katika hali hiyo, tahamaki Atawadhihirikia Mola wako na kusema: ”Niombeni mtakacho!”
Ameipokea Muslim, at-Tirmidhiy na al-Qazwiyniy.
[1] 3:169
Muhusika: Imaam Shams-ud-Diyn Muhammad bin Ahmad adh-Dhahabiy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Mukhtasar-ul-´Uluww, uk. 105-106
Imechapishwa: 26/06/2024
Taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
https://firqatunnajia.com/61-ndege-wa-kijani-peponi/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket