228 – Abu Bakr ametuhadithia: Zayd bin al-Habbaab ametukhabarisha, kutoka kwa Husayn bin Waaqid, kutoka kwa Ibn Buraydah, kutoka kwa baba yake, ambaye amesimulia kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Hakika fakhari ya watu wa ulimwengu ambayo wanapambana nayo ni mali hii.”[1]
229 – Abu Bakr ametukhabarisha: Yuunus bin Muhammad ametukhabarisha, kutoka kwa Salaam bin Abiy Mutwiy´, kutok akwa Qataadah, kutoka kwa al-Hasan, kutoka kwa Samurah bin Jundub, ambaye amesimulia kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
”Fakhari ni mali na utukufu ni uchaji Allaah.”[2]
[1] an-Nasaa’iy (3225). Nzuri kwa mujibu wa al-Albaaniy katika “Swahiyh-ul-Jaamiy´” (1544).
[2] an-Nasaa’iy (3225). Nzuri kwa mujibu wa al-Albaaniy katika “Swahiyh-ul-Jaamiy´” (1544).
- Muhusika: Imaam Abu Bakr Ahmad bin Abiy ´Aaswim ash-Shaybaaniy (a.f.k. 287)
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Kitaab-uz-Zuhd, uk. 60-61
- Imechapishwa: 21/07/2025
228 – Abu Bakr ametuhadithia: Zayd bin al-Habbaab ametukhabarisha, kutoka kwa Husayn bin Waaqid, kutoka kwa Ibn Buraydah, kutoka kwa baba yake, ambaye amesimulia kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Hakika fakhari ya watu wa ulimwengu ambayo wanapambana nayo ni mali hii.”[1]
229 – Abu Bakr ametukhabarisha: Yuunus bin Muhammad ametukhabarisha, kutoka kwa Salaam bin Abiy Mutwiy´, kutok akwa Qataadah, kutoka kwa al-Hasan, kutoka kwa Samurah bin Jundub, ambaye amesimulia kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
”Fakhari ni mali na utukufu ni uchaji Allaah.”[2]
[1] an-Nasaa’iy (3225). Nzuri kwa mujibu wa al-Albaaniy katika “Swahiyh-ul-Jaamiy´” (1544).
[2] an-Nasaa’iy (3225). Nzuri kwa mujibu wa al-Albaaniy katika “Swahiyh-ul-Jaamiy´” (1544).
Muhusika: Imaam Abu Bakr Ahmad bin Abiy ´Aaswim ash-Shaybaaniy (a.f.k. 287)
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Kitaab-uz-Zuhd, uk. 60-61
Imechapishwa: 21/07/2025
https://firqatunnajia.com/61-fakhari-ya-ulimwengu/